Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.
RESEARCH MANAGEMENT SYSTEM (RMS)
PUBLIC AVAILABLE SURVEYS
TOOL 1 CMs: Utafiti kwa ajili ya ripoti ya haki za binadamu
TOOL 1 CMs: Utafiti kwa ajili ya ripoti ya haki za binadamu
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na masuala ya uelewa na ulinzi wa haki za binadamu na utawala bora. Moja ya majukumu yake ni kuandaa ripoti ya kila mwaka ya mwenendo wa haki za binadamu nchini.
TOOL1 CMs: UTAFITI WA HAKI ZA BINADAMU 2019
TOOL1 CMs: UTAFITI WA HAKI ZA BINADAMU 2019
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na masuala ya uelewa na ulinzi wa haki za binadamu na utawala bora. Mojawapo ya kazi zake ni kuandaa ripoti ya kila mwaka ya hali ya haki za binadamu nchini. Ukiwa mmojawapo wa vyanzo muhimu vya taarifa, tunakuomba ujaze dodoso hili. Taarifa hizi zitatumika kuandaa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019 na si vinginevyo. Tunakushukuru sana kwa ushirikiano wako.